Masoud Kipanya alimaanisha nini kwenye mchoro huu?

kama ni zamu ya mama kusukuma kete draft limekwisha.Kete za mama zote zinatafunwa.
Hapana Kate zipo sawasawa, nne kwa nne Angalia vuzuri moja ya MWISHO imejificha kwenye koti. Yaan ndo mchezo unataka kuanza kainama anajiuliza naanzaje kusukuma hizi kete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…