Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,248
- 18,435
Mkuu, hapa ninapoishi nilikuwa nanunua mayai tray moja sh 12,000, juzi nimepata chimbo, tray sh 8,000, na naletewa hadi nyumbani, hapo mchina hajatia mguu.Hiyo bei rafiki hawezi kuendana nayo. 11 elfu kwa elfu 6 ni parefu mno
Huyo mchina kawezaje wakati amekuja akawakuta, ardhi ni hiihii, vyakula na madawa wananunua hukuhuku na serikali ni ileile?... Wabongo waache ujanjaujanjaHiyo bei rafiki hawezi kuendana nayo. 11 elfu kwa elfu 6 ni parefu mno
Huyo anaekuuzia 8 elfu nadhani ni mzalishaji anakuku wake bei haiwezi kuwa sawa na yule mlanguzi. Ndiomaana kwenye biashara ili upate wepesi wa kuifanya machimbo mhimu ni lazimaMkuu, hapa ninapoishi nilikuwa nanunua mayai tray moja sh 12,000, juzi nimepata chimbo, tray sh 8,000, na naletewa hadi nyumbani, hapo mchina hajatia mguu.
Mchaga anakwambia "nikiuza 7500 nitachelewa kufika... Bei ni elfu 11😄Huyo mchina kawezaje wakati amekuja akawakuta, ardhi ni hiihii, vyakula na madawa wananunua hukuhuku na serikali ni ileile?... Wabongo waache ujanjaujanja
Alafu mayai huku mtaani tunauziwa na wabongo Tsh 7500 sio 11000
Atajua mwenyewe acha yawe viza 😆Mchaga anakwambia "nikiuza 7500 nitachelewa kufika... Bei ni elfu 11😄
Kwa hakika tuna ya kujifunza,
Tutakula hayo hayo so long tunamudu bei, wabongo chips mayai, viazi havifiki hata viwili na yao la 300 unamuuzia mtu 3000, yaani unaweka faida ya 2000 kwa sahani moja, bora mchina anaweka faida ndogo mzunguko mkubwa, mchina kaiga kwa mchaga.Wananchi wao wanataka mayai na mchina anauza mayai ya kila mdudu, bundi, kenge, mamba, kuku, kanga, n.k ili mradi tu watu wapate kula mayai. Tusubiri vifo tu.
Yanataka mchina afukuzwe tuuziwe kwa bei ya ulanguzi, WTF!Senior: unajua kitakachotokea?
Junior: nahisi jamaa nayeye atashusha bei
Senior: janja umekosea,jamaa atamuomba SSH amfukuze huyo madha
Junior: kwa nini?
Senior:kayaulize maCCM
MFANO MZURI LAKINI SI HAI. WACHINA wamekuwa msaada mkubwa sana, hatuwezi kuendelea na mabwanyenye wenye ngozi nyeusi.Ni og kabisa ni kama muuza karanga mkulima anaetoa shambani na ww unaenunua uuze upate faida hapo kwenye ushindani wa bei lazima ugaragazwe
Wabongo wezi sana. Acha tu wachina waje.
mwendokasi😔Wabongo tunaweka bei zisizo halisi. Siku hizi hoteli haina hadi soda 5,000, bia 10,000 ?
Wachina waje tu , waondoe walanguzi.
Tulikuwa na Fast Jet- Nauli Dar-Arusha 75,000 wazalendo wakaziua na kuleta ndege ya wazalendo nauli ya Dar-Arusha 400,000/= .
Soko huru, kila mtu achague pa kula.
Ukiwa mtanzania halisi Tena wa asili ni tatizo kubwa sanaKwani na nyie mmekatazwa kufanya hiyo biashara
Ova
Biashara, unapewa barabara yako mwenyewe.mwendokasi😔
Kuandamana kisa Nini ? Wabongo banaExactly 💯 na hapo wanaenda kuandamana mda si mrefu
asubuhi waje aiseeBiashara, unapewa barabara yako mwenyewe.
Unapewa gari zako ambazo hazisimamishwi na traffick.
Unapewa gari ambazo hazigongwi na mtu yeyote .
Unapewa kibali kutoza nauli kubwa, alafu eti unjiendesha kwa hasara na abiria wengi kuliko mabasi, WACHINA NJOONI.