Masoud Kipanya ameamka na biashara za wachina

Kwani na nyie mmekatazwa kufanya hiyo biashara

Ova
Think above and beyond . Ishu sio kufanya biashara ishu ni security ya mfanya biashara wa kitanzania. Ambapo ajira nyingi ndio ziko hapo, wageni wote wakichukua biashara ya mtanzania unatengeneza bomu?

Lakini pia china mheni akifanya the same anapigwa ban max miaka 10, hata asionekane china.
Wanaenda kinyume na sheria za uwekezaji
 
Kwa mtaji upi? Mbongo yeye nae atafute NCHI wakavae ki furs, Burundi,DRC huko waende wabongo
Wako wabongo baadhi nje nchi jirani wamewekeza na wako njema tu
Mfano kuna wakati nlikuwa Malawi nlikutana na mshuwa mmoja smbdy Bishop simama,huko ana viwanda,vituo vya mafuta,ana mashamba ya miwa nk yuko vzr kweli kweli
Akaniambia yeye mbongo na amezaliwa mbeya,ila aliamua kujikita Malawi tu

Ova
 
Matokeo unayajua lakini?
Kule china wako bilion moja na milioni mia nne
Wakipata uchochoro rahisi tu hapa
Na mambo yakiwa hivyo unavyotaka wewe
Tutaanza kuwa watumwa kwenye nchi yetu
Uchumi wote watakuwa nao wao biashara zote kubwa zitakuwa za wachina sisi tutakuwa wachuuzi watumwa tunawafanyia wao kazi
 
Unasikitisha sana ama unaishi masaki kwenye nyumba ya serikali mliyouziwana mkapa kwa milioni mbili mwaka 2004.

Wacha wachina waje maana kuwa utumwa ni siku nyingi, hoteli nyingi mbongo huruhusiwi kuingia, ukiingia unaonekana mwizi, anaye kuzuia ni mweusi mwenzako, wacha wachina waje.
 
Step 1: Futa namba yake na za mutual friends.

Step 2: Unfollow iyo mbuzi kwenye social media.

Step 3: Futa picha na video zote mlizowahi piga kuanzia kwenye simu hadi cloud.

Step 4: Date sabuni kwa mwezi mzima.

Step 5: Hama mtaa.
 
Mtu mweusi anatamaa sana ya Faida
 
hicho ndicho kitakachotokea baadae baada kukamata SOKO automatic mfano wa mayai yataanza kuwa adimu
then bei inaanza kupanda taratibu na wao ndio wauzaji pekee

ukisoma comment za watanzania wengi utagundua uwezo wao wa kufikilia ni mdogo 7bu kubwa wanauziwa nafuu
huwa hawawazi future Wengi huwaza hapa wakati huu
ndio mana mwisho wa siku tunaanza kutafutana uchawi
hicho wanachokifanya wachina ni hatarikwa kwa wafabiashara kwa sasa hivi lakni hata kwawalaji ni shida hapo baadae

ndio kinachoikumba LONDON bei ya kupanga nyumba ipo juu mmno sasa hivi
nyumba nyingi za kupangishwa zinamilikiwa na wahindi zaidi kuliko waingereza na zamani ilikuwa hvyohvyo wengi walikuwa wanapenda kupanga apatmate za wahindi sababu ni nafuu lkn sasa baada wahindi kumilki apartmate nyingi bei imefumuka mnoo imekuwa juu kuliko kawaida
ni tatizo kubwa
 
Kwani sisi ndio tumewaleta?
Wengine waweza kuwa Majasusi sisi tumekalia mitumba. Huu mwaka 2025 una mambo mengi
 
Hii ishu naona imefika mbal, nimepitia group asubuhi nimekuta scholarships za kusoma Masters na Bachelor Degree huko China zimetolewa, nahisi kwenye harakati za kubalance hizi mambo isionekane hawana mchango kabisa nchini.

Sema litapita tu na maisha yataendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…