Masoud Kipanya ameamka na biashara za wachina

K
Senior: unajua kitakachotokea?

Junior: nahisi jamaa nayeye atashusha bei

Senior: janja umekosea,jamaa atamuomba SSH amfukuze huyo madha

Junior: kwa nini?

Senior:kayaulize maCCM
Kwamba mchina aishi,, afanikiwe ila mswahili atajijua. Kama mchina amewezeshwa na serikali yake, kwanini na mbongo asisaidiwe
 
Mkisikia kuna mashamba ya 80k mpaka 150k, bebeni msiseme huko ndani ndani sana si mnaona mjini tunavyotoana jasho, tusijikulaumana baadae.

Si hao wa China tu waNigeria wapo mchini wakutosha na wengine wana familia kabisa na mnajua wale wana roho ya upambanaji, msijekuwaona DSTV kwenye tamthlia mkashangaa nao Bongo movies wanamind kwanini roles zilizotakiwa kuchezwa na wabongo wanapewa waNigeria. Miaka 10 ijayo lazima watakuwa na asilimia yao kwenye "Bongowood" washaona Kenya na Tanzania kwa EA kuna kitu kinaweza kuwalipa.

Either watakaa upande wa video production au watakuwa mapromoter wakubwa wanaweza kuleta A listers wao (bila kudeal nao humleti msanii kutoka Nigeria) au watakuwa na matamasha yao yatakayo kuwa yakifanyika Bongo ambayo yatafunika haya yote ya Bongo.

Tukaze wazee, hao viongozi wenu wanajua kila kitu na hawatawasaidia chochote.
 
Niliendaga Rufiji nkanunuaga eka 1 ilikuwa 40000 kipindi,sahvi 150,000 cha nyuma
Sasa ukiwaunganisha watu nao waende nunua maneno mengi ohh mbali sijui bei kubwa ...ahh unaachana naooo
Wenye mtazamo wa mbali walinunua
Tena huko kuna mahali wachina walichukua maekari walikuwa na mpango wa kulima mihogo
Mbongo we mwambie twende kidimbwi au kwenye Tamasha la mondi au singeli hayo wanayaweza

Ova
 
ni ajabu kabisa eti biashara inakufa kisa imezidiwa na wateja.! na bado hawaoni hata aibu wapo tu hawana maono,hawajali na wala hawajui wafanye nini.!
 
Kabisa mkuu
 
Any case study please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…