hii ipo kwny kila bussiness hapa bongo. hata wanaouza mahnd kenya wana hyo tabia. kama ww sio mmoja wao au ni mgeni kwny hyo biashara basi wao wanakuchongea kwamba mahnd yako yana sumukuvu. ukifika mpakan yanazuiliwaTume ya ushindani ipo lakini pia makampuni makubwa huwa ni kama cartels.. Huwa wanatengeneza mazingra ili kampuni mpya zisiingie kwenye soko lao ili walinde faida zao
Kuna makampuni ya juice na maji huwa yanayeyuka tu kwa sababu hizohizo
sio tutaanza kuwa watumwa. Yaan mpaka sasa tushakua watumwa ndo mana kwenye viwanda vyao wanamlipa kibarua elfu 4 per day. hapo ukiwa na profession mfano driver, ndo walau unalipwa laki 3,4. sasa kuna nn hapo??Matokeo unayajua lakini?
Kule china wako bilion moja na milioni mia nne
Wakipata uchochoro rahisi tu hapa
Na mambo yakiwa hivyo unavyotaka wewe
Tutaanza kuwa watumwa kwenye nchi yetu
Uchumi wote watakuwa nao wao biashara zote kubwa zitakuwa za wachina sisi tutakuwa wachuuzi watumwa tunawafanyia wao kazi
Wamekusikia au nichukue hatua?Mods kwanini mmebadili title ya thread bila ridhaa yangu, hivi unapoandika "biashara za wachina" kwani hapo kwenye picha wako wachina au yupo mchina mmoja? Naomba muwe mnashauriana na mtoa mada kabla ya kubadili post yake, hiyo italeta kupendana, kuheshimiana, kushirikiana na kufurahiana, ila kubadili post ya mtu bila ridhaa yake ni dharau sana na ni mbaya kabisa.
View attachment 3277054
Kuna mtu kaongelea wahindi kumiliki apartments uingerezaAny case study please.
Kabisa... Biashara zina mambo mengi hata kariakoo tu kuna cartelshii ipo kwny kila bussiness hapa bongo. hata wanaouza mahnd kenya wana hyo tabia. kama ww sio mmoja wao au ni mgeni kwny hyo biashara basi wao wanakuchongea kwamba mahnd yako yana sumukuvu. ukifika mpakan yanazuiliwa
Undugu huwa ni marination ya kunyonywa kiuchumi. Kiufupi bongo ndio tunaendekeza undugu ila wengi wanaangalia future na uwezo wao wa kiuchumiSi huwa mnawasaidia ndugu kiuchumi?
Yamekuwa hayo tena
Hakuna ndugunization tena?
Kweli hakuna undugu wa kusaidianaUndugu huwa ni marination ya kunyonywa kiuchumi. Kiufupi bongo ndio tunaendekeza undugu ila wengi wanaangalia future na uwezo wao wa kiuchumi
Siku hizi kuna mchina anauza Sato mpaka 6000 kwa kilo
Hao wanajali biashara tu mkuu... Hawajali kuhusu kingine chochote, iwe demokrasia au ustawi wa watuKweli hakuna undugu wa kusaidiana
Ila angekuwa na bei ya kulingana kidogo naona wangempa tafu ndugu
Au hawasogei pia
Inabidi ianzishwe operation safisha wachinaHapo mmoja lazima afe😄. Hiyo vita isikie kwa watu aisee inavuruga ubongo acha kabisa
Inawezekana Watanzania wenzetu wanaweka profit margin kubwa shilingi izae shilingi mbili!Mkuu, hapa ninapoishi nilikuwa nanunua mayai tray moja sh 12,000, juzi nimepata chimbo, tray sh 8,000, na naletewa hadi nyumbani, hapo mchina hajatia mguu.