Masoud Kipanya ameamka na biashara za wachina

Mods wameyatimba😲
 
Hao Wana energy kubwa uchawi unadunda ingekuwa rahisi hivyo waafrika wasingetawaliwa au kuchukuliwa utumwani analogwa mtu mwenye energy ndogo.
Weupe Wana energy kubwa tofauti na blacks
kwa hiyo uchawi wa weusi umedunda... basi hauna faida utupwe tu
 
Tutakula hayo hayo so long tunamudu bei, wabongo chips mayai, viazi havifiki hata viwili na yao la 300 unamuuzia mtu 3000, yaani unaweka faida ya 2000 kwa sahani moja, bora mchina anaweka faida ndogo mzunguko mkubwa, mchina kaiga kwa mchaga.
Si kweli, Mchina hajaiga kwa Mchagga.....wale wanatumia akili katika biashara zao tofauti kabisa na Wapemba au jamii zingine hapa Tanzania
 
Mkuu sijakuelewa hapo
Unajua kwa sasa dunia imefunguka sana kiasi cha kwamba watanzania wengi sana wanaangalia fursa nje hasa china na mataifa mengine tofauti na zamani
Kwa hiyo ni suala la muda tu watanzania wengekuja kuwa wafanyabaishara wakubwa kimataifa tukisaidiwa na bandari yetu
Kwasababu kuna nchi nyingi pia zinatutegemea kuchukua mzigo kwetu

Sasa ujio wa wachina unawafanya wao wawe mbele hatua kadhaa kuliko sisi kwa hiyo wao watafanikiwa zaidi kupitia nchi yetu Ziadi yetu na watachukua hata masoko ya nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…