Masoud Kipanya anamaanisha nini hapa?

Masoud Kipanya anamaanisha nini hapa?

Political stability

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
906
Reaction score
1,401
Alikuwa ana maana gani, kwenye hii cartoon
IMG_20210618_083822_542.JPG


Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Subili nikamuulize mwenyewe halafu nitakupa majibu.
 
AKA Headless Chicken....

Meaning
in an uncontrolled or disorganized way, and not calmly or logically.

Hence huyu mtu hana kichwa kwahio matokeo ya anachofanya nadhani ni obvious
 
Maana yake chadema hakipo tena kwa maana ya kichwa ambayo ndo huwa kiongozi wamebaki watu wa rangi tu yaani nyekundu na kijani kwa hiyo chadema yenyewe ni wanasybiri huyo kiongozi aongoze ambaye hayupo.
 
Aliweza kukata kichwa cha Chadema kwa lengo la kukiua Chama hicho ili akibadili rangi kiwe cha Kijani tupu.

Ila cha ajabu ameshindwa kukimaliza, rangi ya kijani imeisha huku ya Chadema bado imeendelea kubaki
 
Aliweza kukata kichwa cha Chadema kwa lengo la kukiua Chama hicho ili akibadili rangi kiwe cha Kijani tupu.

Ila cha ajabu ameshindwa kukimaliza, rangi ya kijani imeisha huku ya Chadema bado imeendelea kubaki
hahaaa umechemsha
 
Mtu kaliwa kichwa yaani "Katumbuliwa" na hapo yupo mahabusu anasubiri kesi yake Mahakamani,

Hayo marangi rangi yaliyopakwa bila mpangilio hapo ukutani, ni tuhuma zinazozidi kuelekezwa kwake kila kukicha.
 
hahaaa umechemsha
Wala sijachemsha huo ndio ukweli.

Huyo mpaka rangi mwenyewe nae kaliwa Kichwa na Corona ndio maana haonekani hapo pichani. Kazi yake ya kuiua Chadema hakuimaliza, kaishia kupaka rangi Kitandani na kukata kichwa cha kiongozi mmoja lakini bado rangi ya Chadema imebaki kwenye mto.
 
Bila kuulizwa yeye mwenyewe, mengine yote yatabaki kuwa makisio tu...si ajabu mpaka leo kila mtu anataka kuitafsiri picha ya Monalisa, mara Last super n.k

Nyumba ni kuu kuu
Shuka limechakaa na kuchoka
Mto una rangi za kung'aa
Kitanda na kuta moja imepakwa rangi bila mpangilio
Makopo ya rangi yako chini, ama yameisha au kazi inaendelea.

Kuna msemo unasema, kuna watu hawaitaji UBONGO, uti wa mgongo tu unawatosha kwakuwa hawafikiri.

Mwendo wa AUTO PILOT.
 
Nahitaji kufikiri sana kuchanganya biashara ya CCM na CHADEMA. Rangi ya CCM na za CHADEMA anazo, kazi ni azipake vipi ili zitoe kitu cha maana. Hivi ndivyo mama anaumiza kichwa kutafuta namna ya kuwaingiza CHADEMA katika serikali ya CCM. Yaani ni kufikiri hadi kichwa kinapotea!,😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom