Masoud Kipanya anamuuliza Mohamed Said: Abdul Sykes ni nani? Tazama sehemu ya kwanza mpaka ya nne

Kama kawaida yako udini udini udini tu

USSR
USSR,
Kwani Abdul Sykes alifutwa kwenye historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika kuondoa udini?

Unataka kusema kuwa kwa Masoud Kipanya kutaka kujua historia ya Abdul Sykes analeta udini?
 
Sheikh Mohamed kusema ukweli mimi sikubariani na falsafa yako ila nakubari sana namna unavyotoa hoja zako always calm bila kujali provocation zinazokuja, naomba kuuliza wewe ni mwanahistoria au mwanahistoria wa kiislam?
 
Sheikh Mohamed Said nilitaka kukuona pale MuM ila ratiba zilinibana nikashindwa. Tafadhali naomba unipe ruhusa nikutembelee ofisini kwako nipate mawili matatu mzee wangu.
 
USSR,
Kwani Abdul Sykes alifutwa kwenye historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika kuondoa udini?

Unataka kusema kuwa kwa Masoud Kipanya kutaka kujua historia ya Abdul Sykes analeta udini?
Mzee Said, kuwaelimisha hawa vijana wa sasa ambao muda mwingi wanautumia kuangalia tamthilia ya "Saluni ya Mama Kimbo" ni kazi ngumu inayohitaji uvumilivu uliotukuka.
 
Sheikh Mohamed kusema ukweli mimi sikubariani na falsafa yako ila nakubari sana namna unavyotoa hoja zako always calm bila kujali provocation zinazokuja, naomba kuuliza wewe ni mwanahistoria au mwanahistoria wa kiislam?
Kaya...
Mimi ni mwanahistoria.
 
Hizi story zako huwa ni dead stories, ndio maana zinaonekana labda ni za kidini dini.

Ingependeza sana ukituletea habari za maoni ya hao wakale wako juu ya kulikwamua Taifa kutoka kwenye ujinga, umasikini n.k.

issues, not things & people.
 
Mzee Said, kuwaelimisha hawa vijana wa sasa ambao muda mwingi wanautumia kuangalia tamthilia ya "Saluni ya Mama Kimbo" ni kazi ngumu inayohitaji uvumilivu uliotukuka.
Cliff...
Hakika si kuwaelimisha hawa vijana tu bali historia nzima ya TANU na uhuru wa Tanganyika inataka juhudi kubwa kusomeshwa na kukubalika.
 
Vola...
Nani wanaoona za "kidinidini?"

Maana kitabu cha Abdul Sykes kinapendwa sana tunakwenda chapa ya nne.
Sishangai, sababu tatizo la maandishi yako sio lako binafsi, ni la kijamii. waweza fikisha mpaka chapa 100. sasa kama unaongeza thamani ya maisha kwa hadhira yako au chuki na manung'uniko, huo ndio msingi wa swali langu.
 
Mzee wangu natamani ujibu ombi langu hapo post za juu, nahitaji kujifunza mengi toka kwako.
 
Hawaamini
Shark,
Hao hapo chini Al Jazeera walikuja mwaka wa 2007 na tulifanya mahojiano ya saa nzima.
Historia niliyoandika ndiyo iliyowaleta:

1625167700218.png
 
Back
Top Bottom