Wana JF,
Hatuna sababu ya kugombania fito wakati tunajenga nyumba moja.
Muandaaji wa kipindi, Salama alitaka ampe nafasi Masoud Kipanya ili aeleze ukweli juu ya kuachishwa kazi Clouds.
Pia msanii masoud apate muda muafaka wa kutujulisha kuwa DVD za upuuzi wa Masoud Kipanya kwa sasa zipo
tayari tusubiri kupata vipande vya keki 26.
Tunamwambia tupo tayari tunaisubiri hiyo DVD 7babu tunaelewa Masoud ni nani na kazi zake zinakubalika.
Masood azungumza ndani ya Mkasi mikasa, ila Salama jabir amebooa na maswali ya kitoto, eti Umeshawahi kuiba?, Unacheza kamari?.
Ama kweli uandishi wa habari lazima uwe na akili KP anamponda hapohapo bila yeye kujijua.
Mwandishi wa habari unapomhoji mtu mwenye akili zake timamu na kuliza maswali ambayo hayana kichwa wala miguu ni aibu tu!!, Afu kwani lazima waact saloon, mtu tayari anaupara tena unamnjoa, yani Bongo bado kabisa!
Watch the CLIP and comment your opinion on what happened to KP- Masood, na umahiri wa kazi kwa huyu dada Salama Jabiri mshauri nini cha kuboresha!
:A S-coffee:
Mkasi - S1E3 with Masoud Kipanya - YouTube
Masood: watu hawataki kutumia akili zao.
hata hivo ashukuru Mungu alifukuzwa mana pale siku hizi bila kuwa boflo hufanyi kazi
AKIONGEA KWENYE KIPINDI KINACHOÖNESHWA NA EATV NA SALAMA JABIL KWENYE KIPINDI CHAKE CHA MKASI.MASOD ANASEMA LICHA YA KUFANYA KAZ KWA MIAKA 9 HUKU AKILAZMIKA KUAMKA MAPEMA ALFAJIRI BADALA YA KWENDA MSIKTIN ALIKWENDA KWENYE KIPINDI HUKU MASILAHI YAKIWA DUNI AKAJAFUKUZWA KAZI KWA SIKU MOJA TENA HUKU KOSA LIKIWA NI LA MAFUNDI MITAMBO.AKIELEZEA KWA MASIKTIKO ANASEMA ALIFUKUZWA KAZI KWA KOSA LISILO LAKE TENA KWA Siku moja!
taratibu kaka, hiyo issue ya uboflo aka ucameroon wenyewe hawapendi iongelewe
Nimesoma huo waraka, mbona kila kitu kipo wazi...kilichotokea hapo ni uwezo mdogo wa KP, kufanya kazi kama timu...na tatizo ni ujuaji uliopitiliza plus na sifa mnazompa ndio zinampoteza....sikatai ana kipaji lakini nakataa kuwa ndio zaidi ya wengine wooote.
Masoud na G Hando wote ni wajuaji "much know" lakni inavyoonekana G hando alitumia falsafa ya akili za kuambiwa jumlisha na za kwako......hizo sababu za kugomea kipindi ni dhaifu sana.
Alichofanya KP ni sawa na kuanza kulaumu na kususa kusukuma gari porini kwa kuwa tu aliwahi kuonya juu ya barabara wanayoenda kupita.......busara ni kusukuma gari kwanza, na tukishafika tunapokusudia unarudia kusema tena ulivyosema kabla ya safari....WAZEE ILE BARABARA HAIFAI.
Uwepo wa Messi au Ronaldo kwenye timu sio sababu ya wao kuwa over all incharge wa kuendesha timu nzima...bado kuna kocha na uongozi mwingine.....ndio maana Tevezi akizengua pamoja na umuhimu wake ndani ya timu anatupiwa virago.
.......yaani kwa kuwa tu baba ninaendesha VW BITO, basi ndio mtoto unagoma kupanda nikupeleke shule mpaka ninunue Prado.....lazima upate kichapo ndio usome ukanunue Prado yako..........SENZI KABISA.