Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya KAYPEE MOTORS, ambae pia ni GenC na mtangazaji kutoka Clouds Media Group, Ally Masoud Nyomwa maarufu kama Masoud Kipanya, ametunukiwa shahada ya heshima inayotambua mchango wake kwenye jamii, ubunifu na ustahimilivu, ambayo inatambulika kama Vanguard Honorary Degree for Creativity, Resilience and social impact.
Ametunukiwa shahada hiyo wakati wa mahafali ya tano ya chuo cha usimamizi wa miradi, ufuatiliaji na uhakiki wa ubora Tanzania TIPM (Tanzania Institute of project Management), Jijini Dar es salaam.
Ametunukiwa shahada hiyo wakati wa mahafali ya tano ya chuo cha usimamizi wa miradi, ufuatiliaji na uhakiki wa ubora Tanzania TIPM (Tanzania Institute of project Management), Jijini Dar es salaam.