Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wana be prepared.nimetega sikio toka asubuhi sijawasikia kipanya na fina nimesikia tuu sauti za babra na freduwa mtoto wa sanya juu kwan hawajaanza kazi? mnaosikiliza ule upande wa pili vipi pj na hando wameanza leo E. fm? maana huku mkoani haifiki
Wana Jiandaa kwanza kwani Gadner umemskia??Utangazaji ni maandalizi wajue point za kuongea kulingana redio yao ilivyo si unajua super brand mara 4 mfululizo sio mchezo usifananishe na Iringa Fm.
Gadner ameanza kusikika jana Mkuu.! Fina Mango na Masoud Kipanya huaga wanaendaga sana Clouds siku wakiwahitaji., kuwasikia April 1, lilikuwa ni jambo la kawaida tu haikumaanisha kwamba wamerudiWana Jiandaa kwanza kwani Gadner umemskia??Utangazaji ni maandalizi wajue point za kuongea kulingana redio yao ilivyo si unajua super brand mara 4 mfululizo sio mchezo usifananishe na Iringa Fm.
Ata Gadna mwenyewe ajaeleweka kiivyo naona matangazo tu meeengi.ila tuseme kweli fredwaa wala hajafit kwenye PB, kile kipindi kitapoteza wasikilizaji wengi na hasa kama kina gerald hando watakuwa na kipindi efm muda mmoja na pb
yaah nadhan ni kwasababu kipindi kimekuwa na watangazaji wengi wenye hadhi moja, wala hajimwagi kama zaman ambapo yeye ndio alikuwa muongoza kipindi kibonde alikuwa anatokea kwenye segment za magazeti na michapo ya michezo,Ata Gadna mwenyewe ajaeleweka kiivyo naona matangazo tu meeengi.
Ashaanza kumpoteza babra pia..... Fredaa anafaa kipindi cha mizaa mizaa tu.ila tuseme kweli fredwaa wala hajafit kwenye PB, kile kipindi kitapoteza wasikilizaji wengi na hasa kama kina gerald hando watakuwa na kipindi efm muda mmoja na pb
Nafasi wanayo bado kama wataacha kiburi na kuyafanyia kazi maoni yetu.clouds ndiyo kwisha kabisaaaa