Interview ilipoanza imetunyima kupata taarifa Binafsi za Mh. Sumaye.
Hatukuijua familia yake, pia Masoud alikurupuka sana na kuanza kuuliza maswali ya juu kabla ya kumfahamu kutoka chini.
Kinachomponza Masoud ni u Genious ambao leo kaumbuka kwani nadhani hakujipanga anajiamini kiasi cha kutoandaa maswali.
Siza nae namkubali sana lakini kashindwa kushine.
Interview imetunyima Maisha ya Sumaye katika siasa.
Imetunyima kujua maisha aloishi katika Upinzani.
Kiufupi Power Brakefast leo licha ya kuwa na muda wa kutosha wameshindwa kukata kiu ya wasikilizaji
Kwa kumalizia Power Brakefast leo imeendeshwa chini ya kiwango