Masoud Kipanya: Ningekuwa Bodi ya ithibati, kila Mwandishi aliyegombea kupitia chama asingerudi kwenye Uandishi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Your browser is not able to display this video.
Mchora Katuni Masoud Kipanya ambaye pia amewahi kuwa Mtangazaji wa Redio na TV kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision kuhusu Mtazamo wake kuhusu Waandishi wa Habari walioshiriki katika kuwania nafasi za uongozi kupitia Vyama vya Siasa.
 
Ni kweli ,JAB wawaweke pembeni waandishi ambao ni wanasiasa...Kwa mfano manara akiwa Studio akiwahoji chadema anaweka usisiemu wake mbele na kuanza kubishana na kuitetea sisiemu yake.
 
ungemnyang"anya uhuru na haki zake zote za kikatiba za kuchgua au kuchaguliwa kua kiongozi wa wananchi right?

huenda na wewe kama bodi ya hithibati,
ungefunguliwa kesi zaidi ya millioni 10 kuhusu hilo na waandishi pamoja na wanaharakati uchwara nchini 🐒
 
Mkuu Roving Journalist , asante kwa hii, ila haina zile 5W na H!.
Haya KP ameyasemea wapi, lini, na akihojiwa na nani?.
P
 
Masoud ni moja ya Watanzania wenye akili sana ukifatilia zile katuni zake uatelewa kwa vitendo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…