Ugali mboga sukari!!acha awe mjingaFrom Fei Toto to Fei JINGA.
Watu hawaitaki kushuhulisha ubongo...mpaka Sasa hivi ipo YouTube...na sion tatizo Mimi pale..Kaka hata wewe unaandika kitu kama hiki? Mbona wewe mkongwe na mwenye upeo mkubwa? Hebu tenga muda kafungue youtube mahojiano yote ikiwemo hayo mazungumzo muda wa matangazo ( hawakuzima mic) then useme umesikia tatizo gani mule! Ukielewa futa huu uzi usishushe P yako.
Brother usikonde, labda hujanipata sawasawa nilichosema.Kaka hata wewe unaandika kitu kama hiki? Mbona wewe mkongwe na mwenye upeo mkubwa? Hebu tenga muda kafungue youtube mahojiano yote ikiwemo hayo mazungumzo muda wa matangazo ( hawakuzima mic) then useme umesikia tatizo gani mule! Ukielewa futa huu uzi usishushe P yako.
Nimeambiwa watarudia kipindi chote usiku kwenye TV ili wananchi wote wasikie wenyewe.Brother usikonde, labda hujanipata sawasawa nilichosema.
Manara kalikoroga ili kuwachanganya wajinga lakini mwenye uwezo wa kumprove wrong ni wale waliofanya interview ambao ni Kipanya na Ciza
Nani mwenye huo muda? Kwa faida ya nani?Nimeambiwa watarudia kipindi chote usiku kwenye TV ili wananchi wote wasikie wenyewe.
Na wasiokuwa na TV wanatumia radio tu mnawafanyaje? Hapo mantiki ya kusema wananchi wote wasikie unaitowa wapi?Nimeambiwa watarudia kipindi chote usiku kwenye TV ili wananchi wote wasikie wenyewe.