Masoud Kipanya una akili nyingi

Kwamba wananchi wanaojielewa wanampatia ALTIMATAMU Bi Mikopo kwamba mwisho wake ni 2025, right?
 
Huyo ni chura aina ya magambalala mwenye makazi yake jalalani ni smart sana hawezi liwa na jogoo licha ya koo kwa urahisi namna iyo.
 
Hiyo picha nimeiona ikichorwa kwa mara ya kwanza mwaka 2007 tukiwa Green Acres A level na jamaa mmoja nimemsahau jina. Hiyo akili unayoisema kubwa sijui ni ipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…