Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 857
- 2,241
swali la msingi ni kama anaweza ku monetize uwezo wake umpe hela kama aliyokuwa anapata akiwa clouds. sitting with potential ambayo haikupi hela ni janga la taifa kwa sasa. A lot of youth are broke to hell with great potential on several and various interesting skills.Tokea watangazaji maarufu wasimamishwe na bodi ya ithibati, masoud ameonyesha uwezo binafsi,
Vipindi vyake vya sasa kupitia channel yake ya you tube ni vizuri vyenye mvuto kuliko alipokuwa clouds,
Ana muda wa kutosha wa kutumia ubongo wake kujenga hoja na kujadili mada za msingi bula kubanwa na uongozi.
Hata wakikuruhusu
Hii ni fursa kwake kujenga safari yake mpya ya mafanikio nje ya platform.
Masoud hela anayo na mawingu alikuwa halipwi bali yeye ndio alikuwa anailipa mawingu maana kipindi kilikuwa chakeswali la msingi ni kama anaweza ku monetize uwezo wake umpe hela kama aliyokuwa anapata akiwa clouds. sitting with potential ambayo haikupi hela ni janga la taifa kwa sasa. A lot of youth are broke to hell with great potential on several and various interesting skills.
sasa kumbe hamna alicho lose sasa. kama kipindi chake atafute mtu mwingine akakiendeshe, yeye awe producer.Masoud hela anayo na mawingu alikuwa halipwi bali yeye ndio alikuwa anailipa mawingu maana kipindi kilikuwa chake
Huko YouTube anatumia jina gani
Mwenye mawingu ni kijani na kijani hawapendi ukwelisasa kumbe hamna alicho lose sasa. kama kipindi chake atafute mtu mwingine akakiendeshe, yeye awe producer.
Alishasema hana muda huo wa kutangaza tenaTokea watangazaji maarufu wasimamishwe na bodi ya ithibati, masoud ameonyesha uwezo binafsi,
Vipindi vyake vya sasa kupitia channel yake ya you tube ni vizuri vyenye mvuto kuliko alipokuwa clouds,
Ana muda wa kutosha wa kutumia ubongo wake kujenga hoja na kujadili mada za msingi bula kubanwa na uongozi.
Hata wakikuruhusu
Hii ni fursa kwake kujenga safari yake mpya ya mafanikio nje ya platform.
Kipanya Tell A vision
Welcome to Kipanya TV where innovation meets creativity! Join me as I design and build electric cars from scratch, explore new ideas, and share insights on technology, creativity, and everyday topics. Subscribe and be part of the Kipanya movement! See even more/Tembelea zaidi: Website...youtube.com
No bora, anachofanya sasa ni bora zaidi kuliko hakiwa kwenye hizo platform zao za umbeaAlishasema hana muda huo wa kutangaza tena
Mwenye mawingu ni kijani na kijani hawapendi ukweli
Ni bora, hizi platform za umbea zinaua vipaji,sasa kumbe hamna alicho lose sasa. kama kipindi chake atafute mtu mwingine akakiendeshe, yeye awe producer.
Sio kweli Masoud yupo hivyo kitambo sana na pia kaanza kutoa mtazamo wake kupitia katuni zake kitambo sana..Shida ya wabongo ni wepesi sana kumuamini mtu
Yan pale tu mtu anapotoa maoni wanayo hisi yana faida kwao watu wote hugeuka na kuanza kumpongeza ila akigeuka tu na kutoa maoni ambayo sio rafiki kwao bas mnamchukia
Kwa masudi ni yale yale tu akuna jpy mnamuona wa maana sababu ameongea kile mnataka sikia