Naam hapo unalinganisha vitu viwili tofauti. KP anamfukuzia Gado, na kuna mtu KP anaweza kulinganishwa nae anaweza kuwa Nathan MpangalaMasudi Kipanya ni next level
Hata namna ya ujumbe wa katuni zake ni za ubunifu wa hali ya juu.
Ukiwa na mapenzi ya hivi huu unakua uzuzu, mwishoe hata mwandani wakp utakuwa unamwita dimondiiiiiiiiiiiiDiamond platnumz. Chibu aka simbAaaaaaaaaninoma uyu bwana unaambiwa
Ili cartoonist afanye kazi zake na zifike kwa hadhira yake, anatakiwa kubebwa na nini?Masoud anabebwa na media zaidi japo ni mkali kwa kiasi chake