Masoud Kipanya

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,427
Reaction score
1,054
Kipanya ndie muasisi wa Maisha Plus, naomba nijue imeishia wapi hii Maisha Plus, manake imekuwa kimya sijajua tena itaendelea au ndo kwish nei. Wanajamvi wekeni wazi hapa
 
Hata mimi nataka kujua maana naona kimya hatamchakato haujaanza na hii ndo miezi yenyewe.
 
kila kitu na wakati wake, ukiona kimya basi subiri kidogo ,na kama hakuna kitu basi kwishney......
 
Inawezekana sponsors hawajapatikana
 
kimya kirefu kina mshindo mkubwa

ukimuona kobe ameinama ujue anatunga sheria

tumpe muda anaweza kuja kivingine
 
Lakini kuna kipindi nilisikia kijiji kile kimewaka moto au ilikuwaje?
 
Ha ha tegeme mabadiliko saaana TIDO MHANDO ameshaondoka na likuwa anawapa vijana wengi wenye idea mpya chances sasa tegemea back to the conservative ages
 
Bongo hii sisi ni innovative wa wizi tu. Yaani hatuna jipya!
 
Baba ubaya inabdid itengenezwe movie yake/ masoud vipi ? fanya mishemishe baba utauza sana
 
kipindi cha maisha plus kitakuwepo si kila mwaka ila kila baada ya miaka miwili..........na kitabaki kuwa pale pale TBC
 
kipindi cha maisha plus kitakuwepo si kila mwaka ila kila baada ya miaka miwili..........na kitabaki kuwa pale pale TBC

alisema masoud katika kipind cha sanaa na ubunifu i thnk kinachorushwa na tbc
 
Hata mimi nataka kujua maana naona kimya hatamchakato haujaanza na hii ndo miezi yenyewe.

Unashangaa hilo mbona mwaka jana umepita free unakuja kushangaa mwaka huu!?
 
kimya kirefu kina mshindo mkubwa

ukimuona kobe ameinama ujue anatunga sheria

tumpe muda anaweza kuja kivingine

Akija kivingine si ndo inamaana kuwa ya awali is kwishney
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…