Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,368 Feb 16, 2012 #21 Aginner said: kipindi cha maisha plus kitakuwepo si kila mwaka ila kila baada ya miaka miwili..........na kitabaki kuwa pale pale TBC Click to expand... Huu si ndo mwaka wa pili tangia jamaa wa mbeya achukuwe na ndo alikuwa wa mwisho?
Aginner said: kipindi cha maisha plus kitakuwepo si kila mwaka ila kila baada ya miaka miwili..........na kitabaki kuwa pale pale TBC Click to expand... Huu si ndo mwaka wa pili tangia jamaa wa mbeya achukuwe na ndo alikuwa wa mwisho?
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,368 Feb 16, 2012 #22 Pia bora maisha plus kuliko Bongo star search inayokuwa na majaji wanafiki na wenye chuki binafsi
matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,951 Feb 16, 2012 #23 Masudi namkubali sana..ila kama anataka kuirudisha maisha plus aache uhuni aliokuwa anawafanyia washiriki,ata ivyo wamembeba sana kunyamazia..
Masudi namkubali sana..ila kama anataka kuirudisha maisha plus aache uhuni aliokuwa anawafanyia washiriki,ata ivyo wamembeba sana kunyamazia..