MASOUD MASOUD..MANJU WA MUZIKI

Sasa hapa unamsema Maulid Kitenge, yule jamaa anajua kiswahili tu, kiingereza kinamchapa na kichwani ni mtupu yaani yule jamaa anachojua ni kuropoka ropoka tu.
Halafu Maulidi kwenye kusafiri kwenda nje hajambo kabisa, sasa sijui huwa anawasiliana vipi akifika ulaya.

Nadhani akifika kule anajifanya bubu ili awasiliane kwa ishara.
 
Halafu Maulidi kwenye kusafiri kwenda nje hajambo kabisa, sasa sijui huwa anawasiliana vipi akifika ulaya.

Nadhani akifika kule anajifanya bubu ili awasiliane kwa ishara.
Angekua na akili kidogo kichwani sasa hivi angeshaajiriwa na BBC, DWL au hata VOA lakini ndio hivyo jamaa ni seti tupu yule. Na angekua Multi-lingual maana anasafiri sana tena nchi tofauti tofauti.
 
Angekua na akili kidogo kichwani sasa hivi angeshaajiriwa na BBC, DWL au hata VOA lakini ndio hivyo jamaa ni seti tupu yule. Na angekua Multi-lingual maana anasafiri sana tena nchi tofauti tofauti.
Watu wanaozungumza kiingereza wakimvamia studio, ghafla zile mbwembwe zinakata na jasho kuanza kumtiririka 😂
 
Muziki alianza kuusoma shy bush kwa ngazi ya sekondari
 
Inaweza nisiwe sahihi moja kwa moja lakini mara nyingi hapa kwetu wasanii wenye jina linalojirudia hua ni hatari sana mfano Omari Omari🙌🙌
Uko sahihi Kwa mfano Mimi naitwa Daniel nikiwa kama mzazi nikimuita mtoto wangu Daniel, maana yake nimemuappriciate kuliko maelezo kuna uhakika akawa role model wangu licha ya kuwa mwanangu
 
Tatizo ni chombo anachofanyia kazi, hata kipindi chake kuna muda hakina consistency ya urushwaji plus dhana ya u-tbccm, ni ngumu akapata heshima anayostahili akiwa tbc
 
Nilisha ongea sana juu ya hili swala la mashine masud masud lakin.. nikamq nilikua ninaongea mwenyewe for years.. yule jamaa anachambua kisomi sana na huwezi kuboreka kumsikiza...
 
Hii mashine hakuna kama hii na haitotokea
 
Muziki alianza kuusoma shy bush kwa ngazi ya sekondari
Aisee, kumbe alianza mapema kuusoma miziki!

Kinachofurahisha katika kazi zake za utangazaji hasa vipindi vya muziki hua anajitayarisha kwa kufanya sana tafiti kuhusiana na kitu anachotaka ku present

Kama ni historia ya mwanamuziki fulani ataileta kwa usahihi na ukamilifu. Nakumbuka aliwahi kutoa simulizi ya mwanamuziki Umu Kuluthum wa Misri ambayo ni wachache wa kizazi cha sasa wanaomfahamu


Matokeo yake vipindi vyake vyote vinakua ni vizuri na vinavutia kusikiliza na kufuatilia

Masoud ni msomaji mzuri sana wa novel na ndio maana anajua vitu vingi ukichanganya na exposure yake kutokana na kusafiri na kuishi nje ya Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…