Massage ni danguro lililochangamka

Hata baadhi ya baber shops ni danguro lililo changamka...
 
Wakuu wapi leo? Twendeni huku tukapate kuifanya misuli. Zingatia neno "kila kituu"[emoji533][emoji519] irelax
 
Nani kakuambia changu ananyonywa denda?..na nani kakuambia changu anakojolewa ndani hovyohovyo hivyo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni danguro kabisa, ajabu yake ni kwamba, wale wanaofanyia watu massage asilimia 70 wameathirika na wamejizila. na hawatumii groves. na ukiomba happy endings wanakupa. upo hapo? Ni watu hatari sana hao na wakimbie kwa mbio zote.
Mkuu usidanganye umma, binafsi zote nilizoenda huwa nawajaribu happy ending bila zana wanagoma kabisa, na ndio kipimo changu akikubali bila kinga namtema. Wale hawatoi mzigo kama hujavaa kiatu mguu mmoja. Ukiona anatoa bila kiatu kanywe PEP
 
Pole sana Mzee, Hii kitu ngumu sana japo sijawai kuajaribu ila hawana tofauti na danguro
 
[emoji2957][emoji2957]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…