Massage oil,michirizi n.k

Massage oil,michirizi n.k

Said Cosmetics

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
2,001
Reaction score
1,591
IliyotanguliaIfuatayoOriflame for YOUR DreamsYAJUE MAFUTA YA AJAB KWA JINA LA WONDER OIL.Bidhaa hii ya wonder oil imetengenezwa Na virutubisho maalum vya kutunzia ngozi zetu, ikiwemo:Mafuta ya tangawizinourishing coconut oil,Vitamin E and sweet almond oil.Matumizi yake:Inatumika Kama sabuni ya kuogea (oil bath). Simply weka Kwenye dodoki kisha jisugue mwilini utaona povu lenye harufu nzuri sana. Au Kama Una ngozi kavu sana mwilini iweke Kwenye maji yako ya kuoga.Inaweza kutumiwa Pia Kama hair treatment unapaka kabla hujaosha zaid Watu wenye nywele kavu unapaka Kwenye ngozi unalala nayo kisha kesho yake unaosha. Pia unaweza paka Kama mafuta ya nywele Kwenye ngozi yako.I'm also found another way on how to use wonder oil product:you can use it to dry nail peel ,Tumia katka dry heel : tuna majina mengi Kwenye dry heel sagamba, kea n.kYou can apply under eyes area and leave it for the whole night , especially when you found a skin under eyes develop wrinkles & Dryness conditions.Beauty winder Oil is good for body massages Hapa Sasa utundu wako unahusika. Ndio Yale maswala ya kutunza ndoa. Fanyianeni massage Na fanyia Ilezaid Wakat WA tendo Ili iwe Kama lubricant. Jamaa wanapenda sana matumizi haya nkupe Siri.Inaweza tumika kwa Watu Wenye matatizo ya misuli pia,mfanyie massage hapo panapomuuma Na atapata nafuu kubwa.The product is effective, jaman inanukia vzr sana, moisturizes well,inaingia Kwenye ngozi haraka, inalainisha ngozi Ila haikuachi unang'aa mafuta. You need just a few drops to moisturise all your body.Beauty Wonder Oil inaweza kufunika kama make -up remover sana sana eneo la Chini ya macho, inashauriwa kutoa mascara Na eye shadow kabla hujalala.Kumbuka Kama umetumia wonder oil Wakat WA kuoga hautahitaji mafuta tena ukisha maliza kuoga.mtoto akipata nappy rash just apply wonder oil na utaona maajabu makubwa ndani ya masaaa matatu... u can apply it to prevent nappy rash as well.Pata wonder oil oriflame pekeeNununua sasa uone maajab ya mchanganyiko wa mafuta ya tangawiz, loz (almond)Ni shilling 34,000/=Tshs tuWasiliana nami kwa namba hii +255759827138
20180719191239.jpg
 
Back
Top Bottom