maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Inashangaza kwa hospital kama hiyo kuwa na wahudumu wababaishaji ambao wanatengeneza mazingira ya rushwa kwa kila namna. Next time nitawataja kwa majina msipojitekebisha.
Mtu anaenda na kadi ya bima Daktari anamwambia kipimo flani hakipo kwenye bima nipatie elfu 30 nikusaidie. Baada ya mgonjwa kudai hana hiyo pesa kilichofuata ni kumsumbua kuhakikisha anashinda hospital hapo kuanzia asubuhi hadi jioni mnamzungusha.
Anaandikiwa kipimo kimoja,anapima anarudisha majibu kwa Daktari,anaandikiwa kipimo kingine akapime, hadi mara tatu ilimradi tu kumkomesha kisha hana hela ya kuhonga. Haya kwenye dawa the same, anaambiwa dawa flani hazipo kwenye bima atoe pesa,akatoa.
Baadae akaenda pharmacy anaambiwa kitu kinginge very contradicting na alichoambiwa kuhusu dawa na hiyo bima.
This is unprofessionalism of the highest order, mnawatoa wapi madaktari wapuuzi kiasi hicho? Luckily nilikua nimesafiri ningekuja kuwawashia moto hapo msirudie tena huo upuuzi.