Massanja: Nilipiga game ya mwisho na demu kabla sijaokoka

Massanja: Nilipiga game ya mwisho na demu kabla sijaokoka

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,580
Reaction score
1,987
Akihojiwa katika kipindi cha Spora show, Massanja Mkandamizaji amesema hajafanya mapenzi na mwanamke tangu aokoke miaka 7 iliyopita. Anasema atapiga game nyingi akiona hivi karibuni

e533fc192346fd592a35f96100b21567.jpg
 
Kwa hiyo katika maswali na maelezo yote umeguswa na hilo tu??? Ungeenda mbali zaidi nini kwa umeamua kuchua hilo peke yake.
Vinginevyo ni zile akili za kunasa stori za ngono kuliko mambo mengine ya msingi, ingawa kwa huyo jamaa pia hakuna la kujifunza.
 
Back
Top Bottom