Kwa hiyo katika maswali na maelezo yote umeguswa na hilo tu??? Ungeenda mbali zaidi nini kwa umeamua kuchua hilo peke yake.
Vinginevyo ni zile akili za kunasa stori za ngono kuliko mambo mengine ya msingi, ingawa kwa huyo jamaa pia hakuna la kujifunza.