Massau Bwire anasubiri adhabu ya TFF kwa waropokaji wa utopolo sc

Mwenyekiti wa simba Mangungu, aliwashutumu TFF na bodi ya ligi kuwa wamepanga kuipa Yanga ubingwa msimu huu! Naye anastahili adhabu
 
Mwenyekiti wa simba Mangungu, aliwashutumu TFF na bodi ya ligi kuwa wamepanga kuipa Yanga ubingwa msimu huu! Naye anastahili adhabu
Yaani wewe ndo uko mbali na dunia.. mangungu alishaadhibiwa kitambo sana na alilipa.. sasahivi tunasubiria vp kama tff wako fair je watatoa adhabu kwa wasemaji wa utoh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…