Massive regional IT Facility

Mbona kuna list za top 10 duniani MIT pia haipo. Mbona kila kitu mnapenda ligi.

Nairobi Uni is Stanford of Africa, vipi hapo umekenua.
 
Acha uboya wewe, mimi ni mtanzania nimekuja kufatilia hili jukwaa nicheki ndugu zetu wana hali gani, sasa umepost "we set records" umekazia kabisa "we" kumbe ni habari ya tz.

Huu ujinga sijui mtauacha lini maana naona kuna majigambo ya kitoto wanaendelea hili jukwaa na Mara nyingi hizi thread za kulingishiana zimekuwa zikianzishwa na watoto kiakili kama wewe, sasa "we" inayohusu Tz inahusiana nini na jukwaa la Kenya.

This is unapologetic, shameful and childish.

Inauma sana mnaanzisha ligi za kitoto humu, mnashabikia tz imechoma vifaranga vya Kenya ila mnasahau kwamba hivyo vifaranga vilinunuliwa na mtanzania.
 

Kama hupendi nenda kwenye majukwaa ya wazee wenzio, huku tumejaa Millennials mzee, Kuingilia mijadala ya kitoto ndio utoto na uzwazwa hasa,
Kama umeshazeeka nini kinakuuma watoto tukifanya utoto wetu?
 
In 10 years Tz tutakuwa tumeshaweka standards na wengine watafuata,
Hapo ndio watajua Kingereza bila hela ni sawa na Kupiga kelele
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Aisee
 
Unafahamu kuwa mwanzilishi wa JF alitoka DIT?

Ungeniambia kuhusu aliyebuni mfumo unaotumika kuendesha JF, hapo ningekuelewa, maana JF iko based kwa forum system inayoitwa https://xenforo.com/
Hii xenforo hata wewe unaweza kuitumia kuset a replica of JF, tena itakuchukua masaa machache unakua na complete copy of JF.
Sema changamoto ni jinsi gani ya kuwaburuza Watanzania waje kwenye forum yako, maana wengi wenu mkishajazana kwenye kitu kimoja, huwa hamna uwezo wa kuwaza kingine chochote, hizo ni athari za ujamaa.

Anyway back to the topic, ukanda huu wa Afrika, labda Afrika Kusini ndio ina hadhi ya kusimama mbele ya Kenya kwenye masuala ya ubunifu na teknolojia, na kidogo Nigeria, makajamba wengine wote mpo mbali sana, kwanza TZ ndio hamtajwi hata kwenye ishirini bora.
 
Nafahamu hilo na FYI jamiiforums zamani ilikuwa inatumia vBulletin.
Tuko viruri zaidi ya unavyodhani ni kwambya tuu sisi sio wachonga midomo kama nyinyi.

Je unafahamu kuwa hata traffic lights za jijini ni mchango wa DIT?
 

Mbona unaegemea upande mmoja tu?
Hivi hujawahi soma threads za wakenya kuiponda Tanzania?
 
Nafahamu hilo na FYI jamiiforums zamani ilikuwa inatumia vBulletin.

Tuko viruri zaidi ya unavyodhani ni kwambya tuu sisi sio wachonga midomo kama nyinyi.

Je unafahamu kuwa hata traffic lights za jijini ni mchango wa DIT?

Kwa kutaja vBulletin ni wazi una kauelewa ka haya mambo, hivyo nakushangaa ukija hapa kututambia JF eti ni ubunifu mkubwa.
Halafu kuchora circuitry ya traffic light ni cha mtoto, a first year wa electrical engineering anaifanya tu mbona.
Njoo Kenya ununue laptop inayoitwa 'Taifa' ambayo circuitry yake yote imechorwa na wanafunzi wa JKUAT, kama unajua shughuli za kuchora circuitry, then utaelewa nini kilifanyika hapa na utatoa hongera.
 
Nafahamu hayo, hata mimi nilisoma ECE.
 
Kama hupendi nenda kwenye majukwaa ya wazee wenzio, huku tumejaa Millennials mzee, Kuingilia mijadala ya kitoto ndio utoto na uzwazwa hasa,
Kama umeshazeeka nini kinakuuma watoto tukifanya utoto wetu?
Aisee πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…