Nimeacha kusikiliza clouds siku nyingiWanamichezo hasa mpira wa miguu, kuna huyu mtangazaji wa Clouds FM hasa katika kipindi cha michezo (hili game & sports extra) wakuitwa Masta Tindwa huwa analeta ubishani, kelele, ujuaji usio na maana kabisa katika kipindi. Anapapara nyingi sana, muda mwingine anaongea vitu havieleweki.
Kitengo cha michezo Clouds FM Usajili wa Masta Tindwa umefeli.
sidhani kama hao watangazaji wa michezo wa clouds wamesomea utangazajiWanamichezo hasa mpira wa miguu, kuna huyu mtangazaji wa Clouds FM hasa katika kipindi cha michezo (hili game & sports extra) wakuitwa Masta Tindwa huwa analeta ubishani, kelele, ujuaji usio na maana kabisa katika kipindi. Anapapara nyingi sana, muda mwingine anaongea vitu havieleweki.
Kitengo cha michezo Clouds FM Usajili wa Masta Tindwa umefeli.
Yule ni muongozaji wa kipindi na sio mchambuzi wa mpira ila cha ajabu anauliza na kubishana na anaowauliza kwa wakati mmoja.Wanamichezo hasa mpira wa miguu, kuna huyu mtangazaji wa Clouds FM hasa katika kipindi cha michezo (hili game & sports extra) wakuitwa Masta Tindwa huwa analeta ubishani, kelele, ujuaji usio na maana kabisa katika kipindi. Anapapara nyingi sana, muda mwingine anaongea vitu havieleweki.
Kitengo cha michezo Clouds FM Usajili wa Masta Tindwa umefeli.
Kama mimi, hainivutii kwa kipindi chochote.Nimeacha kusikiliza clouds siku nyingi
🤣🤣🤣🤣🤣Hivi mnapata wapi ujasiri wa kusikiliza clouds?
Yule ni muongozaji wa kipindi na sio mchambuzi wa mpira ila cha ajabu anauliza na kubishana na anaowauliza kwa wakati mmoja.