Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Nimekumbuka hii,lakini itakuwa ndio red card pekee kwakeKaka hata world cup yake ya mwisho alimaliza kwa red card pale kwa madiba
Sent using Jamii Forums mobile app
HapanaKaka hata world cup yake ya mwisho alimaliza kwa red card pale kwa madiba
Sent using Jamii Forums mobile app
sawaJuma Nyosso.
Kwahyo unataka kuniambia Ricardo kaka hajawahi kupata red auHapana
Jui kwa mechi zngine ila mechi ya brasil na Netherland hakupata kadi nyekundu aliyelimwa redo ni beki tati maxwel baada ya kumchezea vibaya arajan rubeni ,ila baada ya hii kadi kaka na robinho walifanyiwa sub
Ameshapatikana tayarKubwa jinga anaenda patikana Turf Moor tena!.. Tuvumiliane tu mkuu!..