Mastaa kumfungia kazi Mpoki kwa udhalilishaji

Tahira anashtakiwa kwa kufanya Utahira !

Ukweli unachukiwa !
 
walipopigiwa hawakupatikana hewan kwani maelezo waliyatoa kwa style gan ?nonesense
 
Sikuwahi kuyaamini magazetii ya udaku
 
Na ashitakiwe tu, alizidi naye kushambulia watu.

Tatizo la mpoki ni sawa na kusema kuchamba kwingi ..lazima utoke na nnya, ile haikuwa komedi hata kidogo ni ujinga tu.
 
Ijumaa??? ndo wanareport kuhusu wasanii na dhamira ya kumshitaki Mpoki???...kweli nyani haoni......le
 
Ila kwa hiyo ya Kadinda kama.kalalamika atakua mbulula maana hata yeye mwenyewe aliposoma kadi hakutaja jina akasema mshind nafikir ni shemeji yangu sasa nin tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…