Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,828
Basi niseme watu maarufu mkuuHold on...
Kwanza mastar ni kina nani?
Kuna tofaut kati ya star, superstar na celebrity??
Sasa Tanzania kuna hao watu?...au mimi ndio sielewi
Connection zipo nyingi mkuu, pia hata hao mastaa wenzao pia wapo wanaokuwa nao sababu ya pesa au majina. Mitaani kuna wanawake/wanaume wazuri na wastaarabu ambao mastaa wangefanya nao maishaUkiachilia mbali factors nyingine. Labda mtoa mada nkuulize, sasa ukiwa staa utajua ni demu gani ana mapenzi ya kweli (good woman) na nani ambae ni bitch (anaetaka pesa,status na connection yako)?? Bigbootylover