Mastaa saba Bongo wanaoetembelea magari ya kifahari

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Asilimia Kubwa ya mastaa Wa bongo wamekuwa wakionekana wakijivinjari katika mitaa mbali mbali wakiwa katika magari ya kifahari. Lakini ukichunguza utagundua kuwa wengi Wa wasanii hao siyo wamiliki halali Wa magari hayo. Baadhi ya mastaa wanaosukuma ndinga za bei Kali apa bongo ni.

1: DIAMOND PLATNUM
Mwanamuziki anayedaiwa kuongoza kwa kuwa na gari la bei mbaya zaidi nchini ni Diamond Platnums ambaye kwa sasa anamiliki BMW X6 ambalo linauzwa kwa thamani ya dola 62,850 za marekani karibu shillingi million 150 za kibongo.

2: LADY JAYDEE
Anayefuata ni mwanadada lady jaydee anayemiliki magari mawili ya kifahari ikiwemo Nissan Murrano alilonunua kwa thamani ya shilingi mil 60 miaka kadhaa iliyopita na Range rover E lenye thamani ya dola za kimarekani 60,000 sawa ni shilingi mil 100 .

3: AY
Nafasi ya tatu imeshikwa na rapa mkongwe Ambwene yesaya anayemiliki Vogue sports lenye thamani ya sh92 miliion.

4: MASANJA MKANDAMIZAJI
Huyu anamiliki gari aina ya Land cruiser lenye thamani ya shillingi mil. 75

5: MRISHO MPOTO
Namba tano inamilikiwa na mtaalamu Wa mashairi nchini, mrisho mpoto anayemiliki Toyota Prado new model yenye thamani ya shilling mil 65.

6: JACKLINE WOLPER
Kwa upande wake muigizaji jackline wolper anamiliki land cruiser Prado lenye thamani ya shillingi mil 65.

7: WEMA SEPETU
Nafasi ya saba inashikiliwa na mwigizaji wema sepetu anayemiliki BMW 545 yenye thamani ya shilingi million 56, pamoja Na Nissan murrano alilopewa Na aliyekuwa mchumba wake diamond lenye thamani ya shillingi mil 36.
 
Na mimi namiliki baiskeli aina ya phonex toleo jipya yenye thamani ya sh lakimoja.
 
Diamond anamiliki BMW ya $62850=mil 150....

Lady JD anamiliki Range Rover Evoque $60000=mil 100.hii ni hesabu ya wapi warumi?

Mwenzangu warumi kipaji chake umbea tu hayo mambo ya dola sijui pound yamenikalia kushoto...By the way nili copy hii habar sehemu wala sikutaka kuumiza kichwa Ku calculate labda binamu zangu wataalamu Wa mambo waje kutusaidia hizo rate za dollars lusungo, matumbo, Matola Ruttashobolwa
 
Last edited by a moderator:
Diamond anamiliki BMW ya $62850=mil 150....

Lady JD anamiliki Range Rover Evoque $60000=mil 100.hii ni hesabu ya wapi warumi?

Ila source haikusema kuwa hiko kiasi ni sawa na shilling ngapi Bali walikadiria tu kuwa ni sawa na dollar kadhaa
 
Last edited by a moderator:
Ila source haikusema kuwa hiko kiasi ni sawa na shilling ngapi Bali walikadiria tu kuwa ni sawa na dollar kadhaa

Wamekadiria kiushabiki na sio kiuhalisia...tangu lini $62850 ikawa ni =Tsh 150,000000???
 
Wamekadiria kiushabiki na sio kiuhalisia...tangu lini $62850 ikawa ni =Tsh 150,000000???

Bora ata lingekuwa gazeti la udaku tungesema ni kawaida yao kuongeza chumvi ila ni gazeti lenye heshima yake
 


Hata hivyo hujakosea binamu hao wanaokukosoa ndo wanakosea kwanza walipaswa waweke figures halisi then waseme ziko juu Sana au chini Sana...

Mfano exchange rate ya US dollar ni 1790 so tunakadiria tu kwa 1800 so ukisema mil 113 inakaribia mil 150 ni sahihi tu...

Hata hiyo $60000 ya JayD ni sawa na 10800000 kwa rate ya 1800/=

So kusema million 100 bado hujakosea.....

Ukiona MTU anakosoa tu bila facts ujue nayeye ana assume tu so ni kanjanja....
 
Last edited by a moderator:
Diamond anamiliki BMW ya $62850=mil 150....

Lady JD anamiliki Range Rover Evoque $60000=mil 100.hii ni hesabu ya wapi warumi?

Tupe wewe hesabu sahihi basi......

Hiyo ya Diamond $62850 hajasema ni sawa na 150 million amesema inayokaribia na 150 million tambua hilo....

Then $60000 sawa na Tsh ngapi??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…