Mastaa saba Bongo wanaoetembelea magari ya kifahari

mtoto wa haramu hata ukimficha vipi kwenye chupa...yupo radhi ajiviringeviringe mpaka chupa idondoke ivunjike ili tu aonekane
Nakosa neno sahihi la kukuambia ili kukudhihirishia ni kiasi gani umenifurahisha! Ahsante.....
 
Hilo nalo swali, mie toka namjua kiba sijawahi kuona gari lake au hana yule?? Mmh!! Au usikute anaendesha vits yule

Ngoja tuone team yake watajibuje wasipojibu ujue hana maana kwenye listi hayupo duuuuuuuu mbutananga!!!
 
Ngoja tuone team yake watajibuje wasipojibu ujue hana maana kwenye listi hayupo duuuuuuuu mbutananga!!!

Usikute hana na yeye, maana mie nilivyo mbea ningepata tu taarifa, maskini sasa kutoa kote airtel kula ata gari la kuzugia hana?? Mmh!! Warumi nae mdomo huu utaniponza khaa!! Mdomo koma mdomo utaniletea balaaah!! Oooh mie simoo
 
Hhhhahaaaaàaaaaaaa tutasutwaa sieee 🔜
 
Hhhhahaaaaàaaaaaaa tutasutwaa sieee 🔜

Mwenzangu kuna mtu kanifuata pm kanisalimia vzur, akaniomba kitu nikamwambia we uliza tu, akasema eti anataka kuniona halafu yupo serious yani nimecheka khaa!!! Nikamwambia utaniona tu usijali...yani watu wanatamanije kuniona? Inabid siku niweke kiingilio uwanja wa taifa watu waje kuniona, najua wambea wenzangu watajaa ahahah ahaha
 
Weka na kiingilio mbona watu watajaaaa heee si unajua mpaka kwa sinta watu wanakukubaliiii heheeeheeeeee
 
Diamond anamiliki BMW ya $62850=mil 150....

Lady JD anamiliki Range Rover Evoque $60000=mil 100.hii ni hesabu ya wapi warumi?

Dolla ikiwa rate ni Tsh1800 inakuwa pungufu ya hizo figure zilizoongezwa chumvi
 
Last edited by a moderator:
Weka na kiingilio mbona watu watajaaaa heee si unajua mpaka kwa sinta watu wanakukubaliiii heheeeheeeeee

Ni sheedah...watu na umaarufu wetu bhaanaa..ivi binamu ulionaga maiti ya komba? Nikiikumbuka mwenzio nacheka khaaa!!! Apumzike salama
 
Kumbe wewe ni KE safi sana.
 
LADY JAYDEE anamiliki Nissan Murrano yenye thamani ya 60 million.WEMA anamiliki Nissan Murrano ya kupewa yenye thamani ya 36 million, mbona gari moja thamani tofauti?
 
TEAMumbea tunataka umtake radhi binamu yetu kabla hatujatoa letamkozzzzzzzzzz!;

Ivi unamjua huyo? Mi ndo kwanza naona ID yake leo, yani mijitu kwa kujipendekeza, kama anataka umbea si aje tu kwani tunakataza binamu?
 
Last edited by a moderator:
LADY JAYDEE anamiliki Nissan Murrano yenye thamani ya 60 million.WEMA anamiliki Nissan Murrano ya kupewa yenye thamani ya 36 million, mbona gari moja thamani tofauti?

Bei ya gari uwa zinatofautiana kulingana na rangi pia, then sio lazima flan akinunua noah mil 12 na mwengine lazima anunue kwa bei hyo binamu, sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…