Mastaa wa bongo ebu jifunze kwa Samatta

Mastaa wa bongo ebu jifunze kwa Samatta

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
1,516
Reaction score
1,775
Hapa bongo tuna mastaa mbalimbali wa fani tofauti,, lakini mastaa hao wamekuwa na mambo ya kuchekesha kama sio kuudhi, mastaa wa bongo wanapenda kuonekana kwenye magazeti, kiki zisizo na msingi kujifanya sio watanzania ni waingeleza na viswainglish vyao huku fani zao zikizidi kuyumba angalia bongo movie imepoteza mvuto

Nakumbuka enzi za kanumba alikuwa sio mtu wa kiki, ilikuwa kazi tu,,kama english alikuwa anajua kama kucheza kama tahira alikuwa anaweza kama kucheza kama millionaire alikuwa anaweza sasa angalia sasa hivi hamna kitu. lakini staa kama samatta nanayecheza GENK-BELGIUM,

dogo ana jua mpira kama umaarufu anao pesa anazo lakini dogo hajitapi hapendi kiki za kijinga kama hawa wenzetu. jamani mastaa wa bongo badirikeni fanyeni kazi acha kiki za kipuuzi
 
hapa bongo tuna mastaa mbalimbali wa fani tofauti,, lakini mastaa hao wamekuwa na mambo ya kuchekesha kama sio kuudhi, mastaa wa bongo wanapenda kuonekana kwenye magazeti, kiki zisizo na msingi kujifanya sio waTZ ni waingeleza na viswainglish vyao uku fani zao zikizidi kuyumba angalia bongo movie imepoteza mvuto na kumbuka enzi za kanumba alikuwa sio mtu wa kiki, ilikuwa kazi tu,,kama english alikuwa anajua kama kucheza kama tahira alikuwa anaweza kama kucheza kama millionaire alikuwa anaweza sasa angalia sasa hivi hamna kitu. lakini staa kama samatta nanayecheza GENK-BELGIUM, dogo ana jua mpira kama umaarufu anao pesa anazo lakini dogo hajitapi hapendi kiki za kijinga kama hawa wenzetu. jamani mastaa wa bongo badirikeni fanyeni kazi acha kiki za kipuuzi

Kuna star bongo ? Au ndo hivyo vibabu akina Ngassa ??
 
kwani wema alikuwa anamtaka samatta?
Hilo huwa linajulikana baada ya kuwa mhusika ameshadakwa ndio utajua somebody ana date na wema.. Ila katika process huwa ni kimya kimya
 
Hilo huwa linajulikana baada ya kuwa mhusika ameshadakwa ndio utajua somebody ana date na wema.. Ila katika process huwa ni kimya kimya
duuuu ndo kamanda siku hizi sijui ameacha
 
Wote zilo maan bora niangalie movie nisioelewa lugha kuliko bongo movie
 
Back
Top Bottom