Mastaa wa kibongo wengi wanafiki

Mastaa wa kibongo wengi wanafiki

pirabiriani

Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
79
Reaction score
16
Nikiangalia maisha ya mastaa wa Kibongo walivyotawaliwa na unafiki, saa zingine nabaki nacheka tu. Picha linaanza.

S01E01 Wema ana bifu na Jokate kisa Diamond,
S01E02 Wema ana bifu na Penny kisa Diamond,
S01E03 Wema kapatana na Jokate
S01E04 Wema kapatana na Penny

Nina wasiwasi na kupatana kwa hawa watu inaweza ikawa ni kupatana.com na sio kupatana kweli. Ngoja tusubiri picha linalofuata. Eti Wema bungeni. Hahaha.
 
Asante muheshimiwa Steve nyerere,sasa namwita mheshimiwa uwoya atafuata mheshimiwa Wema halafu muheshimiwa Shilole ajiandae.
 
wakati ww unawafuatilia wao wenzako wanafanya yao, nawe fanya yako kijana

mkuu wote hao vilaza tu hawana jipya na ukifuatilia ni kama kakikundi fulani ka watu wanaojuana na uchafu wao, anza na wema,penny,mond. wote mle mle ovyoo kabisa
 
mkuu wote hao vilaza tu hawana jipya na ukifuatilia ni kama kakikundi fulani ka watu wanaojuana na uchafu wao, anza na wema,penny,mond. wote mle mle ovyoo kabisa

huna shukran, umesahau kwamba Wema ndo kambeba King Kibakuli akapata tuzo?
 
Back
Top Bottom