KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Hamna cha ustaa wala nini ukihitaji kukandamiza muuigizaji yoyote wa filamu uwe na vihela kwenye pochi nenda bilicanas jumatano siku ya twanga unashika mkono tu hata wawili kama una stamina, j5 ilopita mshikaji aling'oa mmoja sio vizuri kutaja jina.
Huyo Flora mvungi alikuwa analiwa na former TFF secretary general(Mwakalebela) lakini jamaa katoswa baada ya kukosa kotekote.
Ngoja nimvizie wema
Mwaka...si mkuu wa wilaya!!!