Mastaa wa soka kutoka ulaya Frenkie De Jong, Gonzalo Higuani na Moussa Sissoko watembelea mbuga ya Serengeti

Naamini mwakani hawatoishia Serengeti na Ngorongoro pekee watafika mpaka Burigi-Chato national park.
 

Kiungo mpya wa Barcelona Mholanzi Frankie De Jong na mpenzi wake Mikky Kiemeney, wametembelea mbuga za wanyama za Serengeti hapa nchini.

Aidha, zipo taarifa pia za Mshambuliaji, Gonzalo Gerardo Higuaín anayeichezea Chelsea FC kuwepo nchini akitembelea vivutio mbalimbali
 
Hahaaa wachina nao ni watalii duh!!
 
Tanzania Taifa lililobarikiwa sana.
Mkuu naomba picha moja ya viongozi wa upinzani asa CHADEMA wakiwa kwa Babu wa Loliondo Samunge wakinywa kikombe..maana inawezekana ndiyo maana mpaka leo wamekua kama vichaa,waroho,wanavisasi nk.
 
Haya mambo yanaumiza sana wakenya
Lazima wa edit ionekane hao masta wapo kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…