Mkuu hiyo khabari nyingine kabisa, kitabu hiki kimetulia sanaAGORO ANDURU NA novel yake TEMPTATION so interesting
Lost Boyz mwaka 98' kama sijakosea walikuja bongo wakapiga concert wakitokea Nairobi na Sugu (Mr. II) alibahatika kupanda stejini nae akafanya mambo.Dah lost boys washakuja Bongo ?? Ilikua mwaka gani ?
Halafu wamepotea kama jina lao ,majina kweli huumba
Nikimsikiliza Mr Cheeks kwenye nyimbo zao Me and my crazy world na rising to the top ,ananipa raha sana
Back stage moshi ulikuwa unashindana kwenda hewani sijui kilikuwa cha arusha kile!Lost Boyz mwaka 98' kama sijakosea walikuja bongo wakapiga concert wakitokea Nairobi na Sugu (Mr. II) alibahatika kupanda stejini nae akafanya mambo.
Hata nzalendoBUSHLAWYER~huyu ni memba wa JF lakini hata akiandika hapa kwa wivu wako tu hata like humpi, dah
Kafanyaje huyu...Gnako...
Unamjua?Kafanyaje huyu...
Ndio namjua. Nataka kujua kafanya kitu gani kikubwa mpaka mseme yuko underrated?Unamjua?
Na sea emperor mbona munamsahau jamani?Hata nzalendo
Nadhani ilikuwa mwishoni mwa miaka ya 90 manake nakumbuka bado nilikuwa wa kusoma halafu full kujifanya mwana - hip hop! Kama sikosei, Lost Boys walikuwa na show kama sio Kampala basi Nairobi-- Sugu akaunga tela, na kiroho safi jamaa wakaunga hadi Dar!Dah lost boys washakuja Bongo ?? Ilikua mwaka gani ?
Halafu wamepotea kama jina lao ,majina kweli huumba
Nikimsikiliza Mr Cheeks kwenye nyimbo zao Me and my crazy world na rising to the top ,ananipa raha sana
KGT heshima kwake manake alikuwa ndo kimbilio la underground na kawatoa wengi sana! Ilikuwa ukifika pale studio lazima ukute nyomi la underground wenye kiu ya kutoka.KGT WA G RECORDS: Ali kiba,Pasha na wasanii wengi wa bongofleva wamepitia kwenye mikono ya produzya huyu lakini mpaka leo hajawahi kupata hadhi