Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,229
- 610
Ngoja @malaika aje hapa na miss chagga
Followers wa Instagram (in fact hadi Facebook na Twitter) ni bonge la biashara huko duniani ndio maana ni jambo la kawaida sana kuona wenzetu wananunua accounts zenye followers na Likes za kutosha... na kila aina ya magumashi inafanyika ili watu wawe na followers na like za kutosha! Hata hapa Bongo, hawajui tu kuzitumia... mie nikiwa na followers kama wa Diamond, sihitaji kazi ya mtu.Hao followers wanawaongezea ugali???
Hao followers wanawaongezea ugali???
Kumlinganisha Justin na wasanii wa bongo haviendan kabisa. Kwanza wenzetu ni high populated.Pia wenye uwezo wa kuaccess net ni wengi .Huku kwetu watumiaji wa mitandao wachache.
Dinazarde - 459 k
Wana Followers wachache sana,kina bieber sijui watakuwa na wangapi kwa sasa enzi zile FB walikuwa wanafika 60mils.