Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,305 Jan 29, 2015 #21 Paula kilaki said: kiswahili nacho shida Click to expand... Usiwe mvivu kusoma,nimeshasema hapo juu kwamba ingawa hii inahusu wasanii wa bongo japo sio mbaya kujipima,elewa wewe sipo hapa na team zenu za instagram.
Paula kilaki said: kiswahili nacho shida Click to expand... Usiwe mvivu kusoma,nimeshasema hapo juu kwamba ingawa hii inahusu wasanii wa bongo japo sio mbaya kujipima,elewa wewe sipo hapa na team zenu za instagram.
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,340 Reaction score 4,734 Jan 29, 2015 #22 Amalinze said: Wana Followers wachache sana,kina bieber sijui watakuwa na wangapi kwa sasa enzi zile FB walikuwa wanafika 60mils. Click to expand... Bieber ni staa wa bongo?
Amalinze said: Wana Followers wachache sana,kina bieber sijui watakuwa na wangapi kwa sasa enzi zile FB walikuwa wanafika 60mils. Click to expand... Bieber ni staa wa bongo?
Nchi Kavu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 4,290 Reaction score 2,468 Jan 29, 2015 #23 BADILI TABIA said: Hao followers wanawaongezea ugali??? Click to expand... followers dili mno