Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Mastar wengi wa kitanzania wakikosolewa huwa wana tabia kuwa-brand waliowakosea kuwa ni "HATERS." Hater siyo neno rasmi la kiingereza bali ni neno la mitaani tu likiwa coined siku za hivi karibuni tu kutumika kwa watu wanaoaminiwa kuwasema vibaya wenzao hasa kwenye internet. Kwa watanzania, nililiskia kwa mara ya kwanza kutoka kwa mcheza Basketball mtanzania Hasheem, baadaye nikamsikia Lady Jay Dee naye akililitumia na siku za hivi karibuni limekuwa linatumiwa sana na star mwimbaji Diamond.
Napenda kutumia ukumbi huu kuwashauri watanzania na mastar wetu wote kuacha kuita watu wanaowakosoa kuwa ni HATERS wao. Unapotumia neno HATER, unakuwa unajidhalilisha mwenyewe pia kwani asili ya neno hilo ni kutoka kwa watu wa kiwango cha chini katika maendeleo, yaani limbukeni wa umaarufu.
"A term used by others, usually being suburban "gangsters", whose lives are absolutely and undeniably defined by what others think. These people "rumble" often and think of themselves as original and/or indestructable. People that use the term "haters" are the lowest stage of the evolutionary scale. They bleed the fastest and have thought processes similar to that of a mentally underdeveloped cat."
Kutokana na kipaji chako ukishafikia kuheshimniwa katika jamii, unatakiwa kuwaheshimu na kuwapenda wote katika jamii hiyo bila kutenga supporters na hao unaowaita HATERS. It is unfortunate kuwa mara nyingi sehemu kubwa ya watu unaowa-brand kuwa ni HATERS huwa ndiyo wale mashabiki wako wa nguvu wanaokuwa wamefikia kiwango cha kuona mapungufu yako. Ukitumia neno dogo kama "walionikosoa" na ukaonyesha kuthamini mawazo yao, utapata dimbwi kubwa sana la mawazo ya maana kutoka sehemu zote. Lakini ukishejanga kichwa cha kujiamini kuwa wewe ndiye the best na yeyote anayekukuosa na HATER, basi unakuwa unejijengea filosfi ya OSTRICH; utakuwa na muda mugumu sana kuojua upende wa pili wa sarafu kuna nini.