Master by Thesis or Research only ni ngoma nzito

Mtambachuo

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
1,907
Reaction score
3,560
Kusoma Master by Thesis ina mfanya mhitimu awe deep zaidi ya aliyesoma
Master by course work and dissertation hii ni kwa wa sababu Thesis inakuwa
deep and original kwenye eneo la umahiri alilo chagua.

Ila kwa bongo itakuchukua kati miaka 3 hadi 5, au hata miaka 7 ndio uweze kuhitimu
Master by Thesis tofauti na Course work and dissertation ambayo mara nyingi ni miaka 1.5 hadi 2.

Wengi huwa wanakata tamaa na kuishia njiani kwani baadhi ya Supervisors hasa wa vyuo vikuu
vya umma sio cooperative hivyo mtu ili aweze kuhitimu ina hitajika ajitoe kwa jasho na damu kweli kweli.

Aidha Master by Thesis ni nzuri kwani ina mfanya mtu ajitegemee mwenyewe, kumpa msingi mzuri wa kufanya tafiti na hivyo akiendelea kusoma shahada ya uzamivu yaani PhD ambazo nyingi zina tolewa kwa Thesis inakuwa rahisi kwake.
 
Coarse work and dissertation hii ni kwa wa sababu Thesis inakuwa
deep and original kwenye eneo la umahiri alilo chagua.

Ila kwa bongo itakuchukua kati miaka 3 hadi 5, au hata miaka 7 ndio uweze kuhitimu
Master by Thesis tofauti na Coarse work and dissertation ambayo mara nyingi ni miaka 1.5 hadi 2.

Wengi huwa wanakata tamaa na kuishia njiani kwani baadhi ya Supervisors hasa wa vyuo vikuu
vya umma sio cooperative hivyo mtu ili aweze kuhitimu ina hitajika ajitoe kwa jasho na damu kweli kweli.

Aidha Master by Thesis ni nzuri kwani ina mfanya mtu ajitegemee mwenyewe, kumpa msingi mzuri wa kufanya tafiti na hivyo akiendelea kusoma shahada ya uzamivu yaani PhD ambazo nyingi zina tolewa kwa Thesis inakuwa rahisi kwake.
'Coarse' work ndio kitu gani huko vyuoni?
 
'Coarse' work ndio kitu gani huko vyuoni?
Kusoma Master by Thesis ina mfanya mhitimu awe deep zaidi ya aliyesoma
Master by course work and dissertation hii ni kwa wa sababu Thesis inakuwa
deep and original kwenye eneo la umahiri alilo chagua.

Ila kwa bongo itakuchukua kati miaka 3 hadi 5, au hata miaka 7 ndio uweze kuhitimu
Master by Thesis tofauti na Course work and dissertation ambayo mara nyingi ni miaka 1.5 hadi 2.

Wengi huwa wanakata tamaa na kuishia njiani kwani baadhi ya Supervisors hasa wa vyuo vikuu
vya umma sio cooperative hivyo mtu ili aweze kuhitimu ina hitajika ajitoe kwa jasho na damu kweli kweli.

Aidha Master by Thesis ni nzuri kwani ina mfanya mtu ajitegemee mwenyewe, kumpa msingi mzuri wa kufanya tafiti na hivyo akiendelea kusoma shahada ya uzamivu yaani PhD ambazo nyingi zina tolewa kwa Thesis inakuwa rahisi kwake.
Ukihitimu inakupa pesa ngapi?
 
Back
Top Bottom