mbalamula Member Joined Sep 5, 2011 Posts 23 Reaction score 5 Feb 14, 2014 #1 samahani wapendwa naomba kujua mtu akisoma master in troppical disease atafanya kazi zipi na anaweza kuajiriwa wapi?
samahani wapendwa naomba kujua mtu akisoma master in troppical disease atafanya kazi zipi na anaweza kuajiriwa wapi?
K kamuakotekote Senior Member Joined Feb 12, 2014 Posts 163 Reaction score 17 Feb 14, 2014 #2 Kazi ya udactari hospitali yeyote,vituo vya utafiti,makampuni, mashirika ya umma, kujiajiri na nk.