Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
"Msema ukweli mpenzi wa Mungu! Au nasema uongo ndugu zangu!!!"ni bwege huyu master jay anajikuta halafu sioni anachojua na sio mara 1 au 2 kuwaongelea wasanii mashudu
alimkosea sana ALI KIBA kuna namna ya kuongea kama unataka kuwasilisha kitu ila si pumba kama vile wote tunajua MARLONI LINJE ndio alikuwa akimbeba pale MJ
master jay ni mpuuzi fulani hivi upinde kama alivyosema ALI KIBA
Alichokisema mwanzo ndo ukweli haya mengine ni kupuliza tu"Msema ukweli mpenzi wa Mungu! Au nasema uongo ndugu zangu!!!"
Ila kusema Master Jay huoni anachojua inahitaji kujitoa akili sio kidogo. Ukumbuke unamuongelea Engineer wa Sauti hapo.ni bwege huyu master jay anajikuta halafu sioni anachojua na sio mara 1 au 2 kuwaongelea wasanii mashudu