joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE;Wakenya wameingiza mikia katikati ya mapaja, yaani wameufyata[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MY TAKE;Wakenya wameingiza mikia katikati ya mapaja, yaani wameufyata[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ila wakenya wana inferiority complex! Na hii inajionesha dhahiri! Vitu kama mziki hakuna mtu analazimishwa kupenda. Mziki ni universal language! Kuna mtu alienda kuwalazimisha wacolombia kuipenda ule mziki wa rayvany tetema!?
MY TAKE;Wakenya wameingiza mikia katikati ya mapaja, yaani wameufyata[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Waendele kuimba nyimbo zao za kikuyu,Hata wasemeje hao nyang'au hawana mvuto kabisaa. Mziki wao hauna ladha. Wasitake kulazimisha.
Mwenyewe nimecheka sana...Nimepitia comments nimecheka sana.
Ubaya hawawezi kuacha kusikiliza. Kwenye top 10 nyimbo 6 ni TanzaniaMwenyewe nimecheka sana...
Hili saga nilianza kuliona kule Nairobi Gossip Club...Kwenye Comment nilicheka sana.
Wewe utajulia wapi mambo ya utamaduni. National interest ni muhimu mno. Alichokifanya kinatakiwa kabisa.Alichofanya master jay ni ubaguzi wa wazi,zile comment asingetoa mbele ya hadhira namna ile,ni ubaguzi wa wazi dhidi ya Wakenya wakati kuna WaTz wenzetu wanasaka matonge yao kupitia Kenya.
kwani we hujui kwamba Kenya ndio Akili Kubwa ukanda huu?Wanajiona wana akili kuliko watu wote east africa
Wana akili za kupigia nyetokwani we hujui kwamba Kenya ndio Akili Kubwa ukanda huu?
Mkuu, wewe unawajua wakenya au unawasikia?, hawa jamaa usijaribu hata siku Moja kuwatetea, siku zote wao wanadhani wapo sahihi lakini wengine wakifanya kitu hicho hicho sio sahihi.Alichofanya master jay ni ubaguzi wa wazi,zile comment asingetoa mbele ya hadhira namna ile,ni ubaguzi wa wazi dhidi ya Wakenya wakati kuna WaTz wenzetu wanasaka matonge yao kupitia Kenya.
Ila Nairobi yao na ngarenaro hazina utofautikwani we hujui kwamba Kenya ndio Akili Kubwa ukanda huu?
Mkuu, wewe unawajua wakenya au unawasikia?, hawa jamaa usijaribu hata siku Moja kuwatetea, siku zote wao wanadhani wapo sahihi lakini wengine wakifanya kitu hicho hicho sio sahihi.
Sasa alichokisema Master J na walicholichokisema wakenya Kuna tofauti gani?, Weo walifanya na maandamano kulazimisha redio na TV stations zao kutopiga nyimbo za Tanzania
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app