whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Duh, 'msichana'
Kweli shaa ni 'msichana' jamani hadi sasa.?!
Maana ya neno 'msichana' ni nini haswa.?!
Saana na Kama walikuwa wanatumia uzazi wa mpango ndani ya hiyo miaka kumi basi hata hicho kizazi cdhani kipo salamaSijui kama wana mtoto, ila kwa miaka hiyo inapaswa wewe na mtoto wa darasa la pili ha ha ha ha
Uchumba wa zamani tofauti mama, enzi hizo wachumba utakuta Muda huo 10 years hata kushikana hawajawahi, enzi hizi hadi mtu kukuita mchumba ha ha ha ha styles zote mmemaliza hadi za Google zoote Hakuna mpya, miaka kumi ni mingi mnoMliosoma kitabu cha Shaban Robert alikaa uchumba na Bi Amina kwa miaka 10.
Noted mkuu.Uchumba wa zamani tofauti mama, enzi hizo wachumba utakuta Muda huo 10 years hata kushikana hawajawahi, enzi hizi hadi mtu kukuita mchumba ha ha ha ha styles zote mmemaliza hadi za Google zoote Hakuna mpya, miaka kumi ni mingi mno
Msichana maana yake 'Bikra' sasa unataka tuseme shaa bikra.?? [emoji1] [emoji1]Humo humo, mradi si bibi bomba.
Ndoa za wazee bana, master j si anagonga kwenye 45+
Mpaka Masta kachukua maamuzi kama hayo, hapo Shaa atakuwa amefunga na kuomba mpaka kapata na vidonda vya tumbo... Hongera Master, leo nimeona dala dala limeandikwa Master J No 9. I hope una kazizi ka madala dala, so hata mziki ukibuma, maisha yanasonga.
Nani atarusha kete wameanza mahusiano akiwa msichana, miaka kumi imepita bado anamuita msichana!!!!!Amuweke ndani fasta kabla vijana wa kutafuta kiki hawajarusha kete
Labda mabaya anayoyajua ya shaa kwa master Jay ndo faraja na amani kwake!!! Washauri huwa wanapoteza muda tu kama penzi ni la kweliKuna unayoyajua ambayo hatuyafahamu? No body is perfect akiwa Mrs ataacha.
Jay hana washauri..
I pity him.
Aliyemvisha pete Maimartha Jessey na kukaa kidoleni bila ya ndoa, kwa miaka zaidi ya sita ndiye aliyefariki. Si mume. Jina limenitoka. Alikua pedezyee mjini.Alifiwa Na mume lini jaman?