hv mj si ana mke na harusi yake si nasikia pfunk ndo alikuwa best man au? Huy mj atakuwa amezuzuliwa na machokumchuzi a.k..a makengeza ya shaa au ni nini tena mwana wane. We kimario njoo utupe ukweli chalii angu aisee.
Sent from siemens c25 using jamiiforum