Huyu nae amezidi gubu siku hizi. Kila siku anakosea na kulalamika yeye tu.
Naona hasira bado hazijaisha.Master Jay bado hajapona stress za kugongewa mke wake, bado anaumwa akili. Kupiga picha msibani sio jambo baya tena siku hizi kuna mpaka kamati ya picha na videos kwenye misiba mpaka miziki inapigwa.
Lini iyo aligongewa? Na aligongewa na nani?Master Jay bado hajapona stress za kugongewa mke wake, bado anaumwa akili. Kupiga picha msibani sio jambo baya tena siku hizi kuna mpaka kamati ya picha na videos kwenye misiba mpaka miziki inapigwa.
Mtayarishaji mkongwe wa muziki, Master Jay awavaa baadhi ya watu wenye tabia ya kwenda misibani na kuanza kupiga picha na ku-shoot videos kisha ku-post kwenye mitandao yao ya kijamii.
Kupitia andiko lake ameonesha kutofurahishwa na tabia hiyo kwa kuhoji; "Hivi mnaoenda kwenye misiba na kuanza kupiga picha na kushuti videos ili mposti kwenye mitandao mnajiona mko sawa??!! Kama kweli unawajali waliofiwa utaenda ukiwa na lengo moja tu, kuwafariji".
"Hayo mengine nadhani tuwaachie waandishi wa habari. let’s be respectful jamani, asanteni".
Sasa hasira asiziamishie kwenye mambo ya watu, yeye alikuwa busy studio watu wakapita na mama watoto wake.Naona hasira bado hazijaisha.
Hahahahaha..ndio anajiandaa kuchukua jimbo huko kwao ?Huyu nae amezidi gubu siku hizi. Kila siku anakosea na kulalamika yeye tu.
Wewe chawa wa WCB lazima umponde Master J coz alimpiga kwenye mshono Boss wenu,Master Jay bado hajapona stress za kugongewa mke wake, bado anaumwa akili. Kupiga picha msibani sio jambo baya tena siku hizi kuna mpaka kamati ya picha na videos kwenye misiba mpaka miziki inapigwa.
beat maker wako yule mchele mchele, anaingia studio akiwa na diaper anyonge beat kumshinda MJ kweli ? huku anavuja uharo ?Master Jay bado hajapona stress za kugongewa mke wake, bado anaumwa akili. Kupiga picha msibani sio jambo baya tena siku hizi kuna mpaka kamati ya picha na videos kwenye misiba mpaka miziki inapigwa.