Burudani anayofanya diamond ni ipi ?Producer wa muziki wa Bongofleva Master Jay, amesema kuwa Diamond hawezi kumfikia Alikiba kwenye uimbaji wa muziki.
Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema,
“Alikiba ni muimbaji bora na Diamond ni mburudishaji bora. Watu wabishe vile wanataka ila mimi ndio nimeongea kwenye Mic kabisa. Kuna kuimba na ku-entertain na kwenye muziki lazima ujue kuimba na ku-entertain”.
Nini maoni yako?
Written By Mjanja M1
Umeniwahi! Any way, umenisemea na mimi!Mimi ni nani hadi nimbishie master J [emoji375][emoji375][emoji375]
Kaelezea vizuri sana short and clear to the point!
Team Mond watanuna mbaya!
NaamProducer wa muziki wa Bongofleva Master Jay, amesema kuwa Diamond hawezi kumfikia Alikiba kwenye uimbaji wa muziki.
Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema,
“Alikiba ni muimbaji bora na Diamond ni mburudishaji bora. Watu wabishe vile wanataka ila mimi ndio nimeongea kwenye Mic kabisa. Kuna kuimba na ku-entertain na kwenye muziki lazima ujue kuimba na ku-entertain”.
Nini maoni yako?
Written By Mjanja M1
Kuna wakati maishani bahati inaweza kuzidi kipaji.
Inategemeana.Nakuweka sawa kidogo mkuu
Ni juhudi inaweza kuzidi kipaji
Kuna mmoja anakipaji sana na mwingine anajuhudi sana