Master Jay wa BSS unaboa

Shida ni shindano ambalo majaji hawaangalii kipaji cha mtu zaidi wao wanachanganya na mapenzi yao binafsi kwa mtu mifano ni mingi mfano yule kayumba hakua mkali kuzidi walikuwepo nyuma yake lakini alishinda kwa sbb ya Madam Rita kuona huruma
Hili shindano limeishiwa ufanisi kabisa.
Naboeka kuona majaji ni walewale kila siku.
Wanawaacha vijana wenye vipaji mitaan wanabeba magharasa tu.
Pia kwenye swala la usahili vijana weng wenye vipaji wanakata tamaa kabla hata ya kufika kwenye usahili kwa jinsi wanavyozodolewa...Wanawakatisha tamaa totally.
Nimeangalia ile clip ya harmonize alivozodolewa kama ingelikua ni mimi na mziki ningeshaacha.Lakin jamaa hakukata tamaa leo ni msanii mkubwa Tanzania.
Poor BSS
 
Kuna watu mnajiuliza washundi wa bss wa zamani wako wapi hivi hamuwasikii kina dear god...Walter chilambo na kayumba!!!?
Hao wote hakuna mwenye nyimbo za maana ambayo imefika kwenye pic...
Msanii anaibeba BSS labda Kala Jeremaya.Hakuna mwingine na hakua mshindi wa kwanza.Walter ni bingwa wa kukariri nyimbo za watu.
 
Mshindi ashajulikana atakuwa SARAPHINA MICHAEL, wa pili atakuwa yule bodaboda...wengine wasindikizaji. Ila Saraphina anajua bhana.
 
Yani nadhani wakiona wanajisikia hovyoo
 
Mshindi ashajulikana atakuwa SARAPHINA MICHAEL, wa pili atakuwa yule bodaboda...wengine wasindikizaji. Ila Saraphina anajua bhana.
Yah yani huyo saraphina hana mpinzani anajiamini na anajua anachofanya. Anaimba hajilazimishi
 
Shida inakuja kwenye ukosoaji na jinsi ya ku jaji mtu. Mfano huyo bodaboda lazima aingie top 3 kw sbb ni favourite mshiriki wa madam Rita. Hapo ndipo shindano linapopoteza mvuto
 
Shida ni shindano ambalo majaji hawaangalii kipaji cha mtu zaidi wao wanachanganya na mapenzi yao binafsi kwa mtu mifano ni mingi mfano yule kayumba hakua mkali kuzidi walikuwepo nyuma yake lakini alishinda kwa sbb ya Madam Rita kuona huruma
ni kweli yule jamaa wa arusha naseeb Fonabo alimuacha kayumba mbali sanaaa.. tena jamaa alikuwa anapiga guitar... lakin akapewa Ushindi kayumba.. Saaa hivi yuko wapi!???...bss ife tuu..
 
ni kweli yule jamaa wa arusha naseeb Fonabo alimuacha kayumba mbali sanaaa.. tena jamaa alikuwa anapiga guitar... lakin akapewa Ushindi kayumba.. Saaa hivi yuko wapi!???...bss ife tuu..
Yah huyo kijana alikua mkali
 
Hahaaaa ipo na washiriki wa mwaka huu ni wakali
Ni kweli mwaka huu wamejitahidi kutoa waimbaji wazuri na wanasikika ila ulichosema ni kweli huyo mshiriki aliimba na kamkoba siku ile binafsi niliona kaimba vizuri nilishtuka kwa comment ya MJ ila nadhani ukweli anaujua labda anaongeza hasira za watu wapige zaidi kura kwa jamaa maana naona anaimba vizuri sana
 
Anaimba vzr mnooo sauti yake anaichezea atakavyo. Maybe usemacho ni kweli ila kama ni chuki basi anamuharibia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…